Tuesday, October 11, 2011
Muziki ya Zanzibar
Nilipozuru Zanzibar mwezi wa saba mwaka huu niliona wanamuziki wawili. Mmoja aliimba taarab na mwingine alitoka Comoros na alikuwa akikuja Zanzibar kusoma musiki wa Waswahili. Aliimba kwa Kifaransa na anafanya "spoken word" pia. Nilipenda wonyesho hili kwa sababu musiki ya huyu ni ya kisasa lakini anatumia ala za zamani. Sijawahi kuona ala hizi.
Watu wengi wanapenda taarab na pia kuna musiki ya aina "modern taarab". Nilipoenda Zanzibar nilikaa na rafiki yangu na tulienda baa ya taarab. Unaenda na unakunywa au unakula na unaweza kusikiliza muziki taarab. Baa za taarab zinapendwa na watu wengi. Ukienda baa nzuri sana unahitaji kuvaa nguo safi sana.
Msamiati
ala- instrument
wonyesho- show
sijawahi kuona- I have never seen
ya kisasa- modern
Adrienne
(Nitajaribu upload video lakini sijui kama itaweza kufanya kazi. Labda nitaleta video.)
Monday, October 10, 2011
Almasi- Phoenix Wachezaji
Niliopkuwa katika Kenya, nilifanya kazi na biashara ya thiyeta. Jina lako ya kampuni ni Wachezaji ya Phoenix. Nilihitaji kujibu simu kila siku. Nilipokuwa nikijibu watu hawatumani kwama walipinda namba sahihi. Ningehitaji kusema "Hapa ni Wachezaji na Phoenix" kama mara mabili kabla ya wangetumaini.
Wazungu wanjali sana kuhusu nini mchezo ni kuhusu kabla ya walinunua ticketi. Kwa mfano, siku moja mwanamke mzungu walituitwa na nilijibu. Aliuliza "Mchezo ni nini?", na nilisema "Angnes wa Mungu", na yeye aliuliza, "Mwandishi ni nini?", nilijibu "John Pielmier", anilsema "Ungeweza kuiendeleza tafadhali?", nilisema "P-i-e-l-m-i-e-r", "Asante" alisema na aliacha simu. Bila shaka mazungumzo yetu ilikuwa katika kiingereza. Mkurugenzi wangu, George Mungai, aliniambia kwama wazungu sana walitupiga simu kabla ya mcheza kwa sababu hawataki kuona mchezo wa Afrika. George alisema kwama mara mengi wakati mtu anasema jina la Afrika wazungu aliacha simu kwa dakika moja.
Baadaye 'Agnes wa Mungu' tulifanya 'Tabasamu Mchungu". Mchezo hili ni wa Jamaica, lakini, mkurugenzi, George, na wasani waliibadilisha kuwa mchezo mkenya. Ilikuwa jambo la kushangaza kuona.
Maneno
-tumaini=belive
-sahihi=correct
-endeleza= spell
-mazungumzo=conversation
"kwa dakika moja"= immediately
-wasani= artists
Sunday, October 9, 2011
Yom Kippur
Ijumaa iliyopita, ilikuwa sikukuu ya uyahdui iliitwa "Yom Kippur." Sikukuu hii ina maana sana na ni muhimu sana kwa wayahudi. Baada ya Mwaka Mpya, wayahudi hawali kwa siku moja. Muhimu ya mtu hawawezi kula ni kukumbusha mtu wa mwaka uliyopita. Lakini, usikumbushe vitu vizuri. Ukumbuke vitu vibaya ulifanya, vitu vibaya ulisema, na watu walimkuwa na kali. Wazo ni kufikiri juu ya maisha yake na ukitaka kuchanga vitu vyingine. Kwa mimi, mwaka huu nilifikiri kuhusu unono katika maisha yangu. Nafikiri ni rahisi kusahau urahisi wa maisha, si mimi tu, lakini wa watu wengi katika Wash U, na watu wengi wa Amerika pia. Ni sehemu ya sherehe ya sikukuu ya Yom Kippur inanisumbua ni baada ya huli kwa siku moja, watu wanachanga kula chakula sana sana sana. Na kwa sababu mwaka huu nilifikiri kuhusu unono, sherehe hii ilinisikia na hatia.
sikukuu: holiday
uyaduhi: Judaism
maana: meaning
kukumbusha: to remind
kukumbuka: remember
unono: luxury
kusumbua: bother, annoy, disturb
hatia: guilt, shame
Wednesday, October 5, 2011
Mamangu atakuwepo hapa!
Mamangu atakuwepo hapa wikendi hii. Nina furaha sana. Nina nafasi kuona mtu wa familia yangu ambaye ninampenda!
Wakati mamangu anafika nitasaidia kupika chakula kizuri. Pia nitaenda kuandika mashairi na yeye. Ninataka kumwanzishia marafiki hapa. Ninataka kuonyesha mahali wapi ninatumia masaa.
Ninamatumaini kwamba mama ataleta pai ya viazi vitamu kwa sababu mimi ninapenda pai viazi vitamu, hasa pai ya mama yangu.
atakuwepo - she will be (locative)
kuanzisha - to introduce
kuonyesha - to show
pai - pie
matumaini - hope
hasa - especially
-Pat
Monday, October 3, 2011
Wanawake wajawazito wanatendewa vipi?
Nilipozungumza na wanawake nilimwuliza "Je, wanawake wajawazito hutendewa tofauti na wanawake wasio wajawazito?" Hapa, Marekani, nafikiri mwanamke mjamzito anatendewa tofauti. (Sina watoto kwa hiyo sijui kwa kweli lakini naona anatendewa tofauti.) Kwa mfano, akikaa Marekani, mjamzito anaweza kupumzika zaidi na anaweza kwenda hospitalini kumwona daktari labda mara kumi na mbili au zaidi. Mume wake anamsaidia na kazi au kufanya mipango kwa kujigungua, kupataje huduma za afya kwa muda wa ujauzito na kadhalika. Baada ya uzazi wa mtoto mama anaweza kuacha kazi kwa muda wa miezi mitatu na mara kwa mara (sasa ni kawaida zaidi kuliko zamani) baba wa mtoto anaweza kuwa na likizo pia. Mjamzito anaweza kusoma vitabu vingi sana kuhusu ujauzito na kuhusu huduma za afya kwa muda wa ujauzito na kujifungua na kwa mtoto.
Wajawazito wanaokaa Tanzania hawawezi kufanya mipango kama Wamarekani. Labda mume wake anamsaidia kupata chakula au majirani au wifi wanamsaidia na kazi ya nyumbani. Lakini wanawake wengi vijijini waliniambia kwamba hawawezi kuacha kazi na mume hafanyi kitu chochote kwa muda wa kujifungua au kwa muda wa ujauzito. Ni muhimu sana kutofanya kazi ngumu sana kwa sababu mimba inaweza kuharibika. Akifanya kazi ngumu kama kuchota maji au kubeba mizigo mjamzito anaweza kupata shida hata shida na mtoto, mtoto anaweza kufariki tumboni. Baada ya uzazi wa mtoto ni kazi ya wanawake tu. Labda baba wa mtoto atachinja mbuzi kuadhimisha uzazi lakini hamsaidia mama na mtoto kwa kweli. Wanawake wanakuja kumsaidia mama mpya, kama mama mzazi, wifi, dada, au majirani. Unaweza kumkuta wanawake wajawazito ambao wana afya mbaya, labda kwa sababu hawana msaada na kazi au hawawezi kupata lishe bora na ukimwona mama mjamzito na ana afya mbaya labda ni kwa sababu hana mume au ana mume mbaya.
Msamiati
kutendewa- to be treated
wifi- sister-in-law
uzazi- birth
kuchota maji- to fetch water
lishe- nutrition
kuchinja- to slaughter
kuadhimisha- to celebrate
Adrienne
Wajawazito wanaokaa Tanzania hawawezi kufanya mipango kama Wamarekani. Labda mume wake anamsaidia kupata chakula au majirani au wifi wanamsaidia na kazi ya nyumbani. Lakini wanawake wengi vijijini waliniambia kwamba hawawezi kuacha kazi na mume hafanyi kitu chochote kwa muda wa kujifungua au kwa muda wa ujauzito. Ni muhimu sana kutofanya kazi ngumu sana kwa sababu mimba inaweza kuharibika. Akifanya kazi ngumu kama kuchota maji au kubeba mizigo mjamzito anaweza kupata shida hata shida na mtoto, mtoto anaweza kufariki tumboni. Baada ya uzazi wa mtoto ni kazi ya wanawake tu. Labda baba wa mtoto atachinja mbuzi kuadhimisha uzazi lakini hamsaidia mama na mtoto kwa kweli. Wanawake wanakuja kumsaidia mama mpya, kama mama mzazi, wifi, dada, au majirani. Unaweza kumkuta wanawake wajawazito ambao wana afya mbaya, labda kwa sababu hawana msaada na kazi au hawawezi kupata lishe bora na ukimwona mama mjamzito na ana afya mbaya labda ni kwa sababu hana mume au ana mume mbaya.
Msamiati
kutendewa- to be treated
wifi- sister-in-law
uzazi- birth
kuchota maji- to fetch water
lishe- nutrition
kuchinja- to slaughter
kuadhimisha- to celebrate
Adrienne
Sunday, October 2, 2011
Safari ya Zoo
Nilienda Zoo na darasa la mazingira Jumanne iliyopita. Tuliona simba mbili na simba wa bara hindi karibu sana. Tuliona karibu zaidi ya umma; tulienda nyuma ya kizimba kuona wanyama na kiongozi cha zoo. Simba ya jike alitembea kutoka ncha moja mpaka ncha nyingine ya kizimba. Kitendo hiki kinaelezwa kwa jinsi mbili: simba inahitaji kizimba ambacho kikubwa kuliko kizimba cha sasa, au simba alikuwa akitayarisha kuwinda. Nafikiri ni kidogo cha wawili.
Simba katika mbuga anazoea kusaka windo. Uwindaji inahitaji nishati sana, hasa hakamati windo yake. Kwa sababu wanyama katika zoo hawahitaji kuwinda chakula, hawatumii nishati sana na wana nishati ziada.
Pia, simba katika kizimba hiki hakuona watu wengi karibu sana na kizimba chake. Kwa kawaida, watu ambao wanahudumia wanyama ni watu tu karibu na kizimba. Lakini, darasa yangu tulienda eneo huo pia. Nafikiri tulisababisha simba kuwa na wasiwasi. Kwa hivyo, simba alijibu sisi kama anakuliko mbuga: alitayarisha kusaka windo! Simba ya jike alikuruka katika uzio alipojaribu kuua mimi!!
Pia, katika zoo tulizungumza kuhusu dhima ya zoo katika uhifadhi. Zoo ilipeleka wanyama kutoka zoo moja mpaka zoo nyingine kusukuma wanyama kupanda mbegu. Pengine, ina bahati, lakini kwa kawaida, hakuna bahati na zoo inahitaji kupeleka mnyama zoo nyingine.
ncha: tip. point, end
kizimba: cage
kuwinda: to hunt
mbuga: grassland/savannah
kuzoea: accustom, get used to
kusaka: hunt, chase
uwindaji: hunting
windo: prey
nishati: energy
ziada: extra
eneo: territory, area
uzio: fence
dhima: role, responsibility
uhifadhi: conservation
sukuma: encourage
mbegu: breed, species
Almasi- Hudumu ya Afya
Katika Kenya wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wana uwezo kubadilika maisha wa watu wote. Kwa hivyo wao wanashiriki katika siasa sana. Kwa mfano, wakati nilikaa katika Nairobi na familia yangu nilikuwa na dada moja ambaye anamaliza shule kwa afya. Ijayo yeye alihitaji kuenda hospiteli kufanya kazi kwa miaka miwili kabla ya yeye angeweza kuwa daktari mkuu. Lakini mwaka huu Wizara ya Afya inasema kwamba wanafunzi wote walihitaji kuenda kwa miaka mitatu badalla ya miwaka miwili na Wizara ilipunguza mshahara pia.
Kwa sababu hii, wanafunzi walinia kupinga salaam mtaani la Nairobi. Niliacha darasa la Kiswahili kuingia wanafaunzi. Ilikuwa na kusisimua sana.
Lakini hailikuwa na kusisimua wakati wanafunzi walipinga ukali wakati mwanafunzi nyingine aliuwa katika Westlands katika Machi. Nilipokuwa na nikiangalia wanafunzi mtanni walianza kuruka miwa kuelekea kicha wangu and kicha wa wanafunzi wazungu ambao wanangalia pia. Tulihitaji kukaa katika shule mpaka chelewa sana kwa sababu basi wetu haiendesha kupata sisi.
http://www.youtube.com/watch?v=PD3DkS95CTk&feature=related
-Huduma ya faya= Healthcare
-shiriki= participate
-nia=decide
-pinga=protest
-pinga salaam= peaceful protest
-pinga ukali= violent protest
-kusisimua= to excite, stir up the passions
-kuelekea= towards
Subscribe to:
Posts (Atom)