Wednesday, November 2, 2011

Kuandika Mashairi Nzuri

Nilikuwa na malengo mengi kwa miaka hii. Lengo moja yalikuwa kushinda mashindano ya mashairi. Mwezi hii, nilifanya lengo huyu. Nilishinda shindano ya mwezi wa oktoba. Sasa, nitakuwa katika mashindano makubwa katika mwezi wa februari. Washindi wa mashindano za mwezi mpaka Januari watashindana na mimi katika mashindano mkubwa katika februari hivyo mimi ni furahi sana.

Ni lazima niandike mashairi na nitahitaji kutakuwepo tayari. Nitajaribu kuandika na kufanya utendaji kwa masaa matatu kwa wiki mpaka niko tayari kwa mashindano mkubwa katika februari.

Ninafikiri sababu kwa nini mimi nilishinda ni kwamba mimi nilikuwa na nafasi kwa kushindana katika shindano ya taifa majira ya joto uliyopita. Nilijifunza hila na mwanga kwa kuandika na kufanya utendaji. 

Hii ni picha ya mimi katika shindano ya taifa:


Nilitumia shairi sawa kutoka shindano ya taifa kama shairi ya kwanza katika shindano ya oktoba. Ni shairi katika picha hii!

Hii ni shindano ya oktoba:

Kwaheri!
-Pat


Msamiati
lengo/malengo - goal(s)
kufanya utendaji - literally, to do a performance (to perform)
hila na mwanga - tips and tricks (hints and tricks)
shindano - competition

No comments:

Post a Comment