Monday, October 10, 2011
Almasi- Phoenix Wachezaji
Niliopkuwa katika Kenya, nilifanya kazi na biashara ya thiyeta. Jina lako ya kampuni ni Wachezaji ya Phoenix. Nilihitaji kujibu simu kila siku. Nilipokuwa nikijibu watu hawatumani kwama walipinda namba sahihi. Ningehitaji kusema "Hapa ni Wachezaji na Phoenix" kama mara mabili kabla ya wangetumaini.
Wazungu wanjali sana kuhusu nini mchezo ni kuhusu kabla ya walinunua ticketi. Kwa mfano, siku moja mwanamke mzungu walituitwa na nilijibu. Aliuliza "Mchezo ni nini?", na nilisema "Angnes wa Mungu", na yeye aliuliza, "Mwandishi ni nini?", nilijibu "John Pielmier", anilsema "Ungeweza kuiendeleza tafadhali?", nilisema "P-i-e-l-m-i-e-r", "Asante" alisema na aliacha simu. Bila shaka mazungumzo yetu ilikuwa katika kiingereza. Mkurugenzi wangu, George Mungai, aliniambia kwama wazungu sana walitupiga simu kabla ya mcheza kwa sababu hawataki kuona mchezo wa Afrika. George alisema kwama mara mengi wakati mtu anasema jina la Afrika wazungu aliacha simu kwa dakika moja.
Baadaye 'Agnes wa Mungu' tulifanya 'Tabasamu Mchungu". Mchezo hili ni wa Jamaica, lakini, mkurugenzi, George, na wasani waliibadilisha kuwa mchezo mkenya. Ilikuwa jambo la kushangaza kuona.
Maneno
-tumaini=belive
-sahihi=correct
-endeleza= spell
-mazungumzo=conversation
"kwa dakika moja"= immediately
-wasani= artists
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment