Nilisoma kitabu kuhusu Umaskini Duniani kinaitwa "(Siasa Kawaida) Politics as Usual: What lies behind the pro-poor rhetoric" kwa darasa ya falsafa. Mwandishi wa kitabu hiki alisema kwamba serikali ya USA ni mbaya kwa sababu inaendelea kupata pesa katika nchi wapi hakuna huduma za afya, mfumo wa elimu, na kadalika.
Watu darasani walikhitalifiana kitabu kwa sababu wanapenda faraja zaidi ya ukweli. Lakini mimi nilifikiri kwamba kitabu hiki kilikuwa kizuri sana kwa sababu kina ukweli zuri.
Mimi ninafikiri ni muhimu sana kujaribu kufanya tofauti duniani ambapo watu wanateseka!
-Pat
Msamiati
mfumo wa elimu - education system
falsafa - philosophy
wanateseka - they suffer
faraja - comfort
serikali - government
No comments:
Post a Comment