Kwa darasa la Historia ya Watumwa tulisoma kitabu kwa mwanamke anaitwa Saidiya Harmann. Kitabu chake kinaitwa "Kupoteza mamake". Kitabu ni kuhusu wakati Saidiya anatembea Ghana kufanya utafiti kwa shule kuhitimu. Alisema juu ya jinsi ya watu waafrika wanafikira wakati tunasafari katika Afrika. Ni tafouti sana kuliko wazungu na watu weusi na si vizuri. Watu weusti huenda kutafuta watu kama wao. Huaenda kutafuta famailia na historia ya watu wao kabla ya America.
Lakini sana sisi tunatafuta kwamba sisi ni tafouti zaidi kwa watu waafrika kuliko watu waamerica. Tunatafuata kwamba sisi ni tafouti kila mahali. Tunatafuta peke. Bwana Malcolm X anasema katika kitabu chake kwamba Watu Waafrika Waamerica ni watu pekee bila historia.
kuhitimu= graduate
peke= isolation, loneliness
No comments:
Post a Comment