Tuesday, October 11, 2011

Muziki ya Zanzibar


Nilipozuru Zanzibar mwezi wa saba mwaka huu niliona wanamuziki wawili.  Mmoja aliimba taarab na mwingine alitoka Comoros na alikuwa akikuja Zanzibar kusoma musiki wa Waswahili.  Aliimba kwa Kifaransa na anafanya "spoken word" pia.  Nilipenda wonyesho hili kwa sababu musiki ya huyu ni ya kisasa lakini anatumia ala za zamani.  Sijawahi kuona ala hizi.

Watu wengi wanapenda taarab na pia kuna musiki ya aina "modern taarab".  Nilipoenda Zanzibar nilikaa na rafiki yangu na tulienda baa ya taarab.  Unaenda na unakunywa au unakula na unaweza kusikiliza muziki taarab.  Baa za taarab zinapendwa na watu wengi.  Ukienda baa nzuri sana unahitaji kuvaa nguo safi sana.

Msamiati
ala- instrument
wonyesho- show
sijawahi kuona- I have never seen
ya kisasa- modern

Adrienne

(Nitajaribu upload video lakini sijui kama itaweza kufanya kazi.  Labda nitaleta video.)

No comments:

Post a Comment