Ijumaa iliyopita, ilikuwa sikukuu ya uyahdui iliitwa "Yom Kippur." Sikukuu hii ina maana sana na ni muhimu sana kwa wayahudi. Baada ya Mwaka Mpya, wayahudi hawali kwa siku moja. Muhimu ya mtu hawawezi kula ni kukumbusha mtu wa mwaka uliyopita. Lakini, usikumbushe vitu vizuri. Ukumbuke vitu vibaya ulifanya, vitu vibaya ulisema, na watu walimkuwa na kali. Wazo ni kufikiri juu ya maisha yake na ukitaka kuchanga vitu vyingine. Kwa mimi, mwaka huu nilifikiri kuhusu unono katika maisha yangu. Nafikiri ni rahisi kusahau urahisi wa maisha, si mimi tu, lakini wa watu wengi katika Wash U, na watu wengi wa Amerika pia. Ni sehemu ya sherehe ya sikukuu ya Yom Kippur inanisumbua ni baada ya huli kwa siku moja, watu wanachanga kula chakula sana sana sana. Na kwa sababu mwaka huu nilifikiri kuhusu unono, sherehe hii ilinisikia na hatia.
sikukuu: holiday
uyaduhi: Judaism
maana: meaning
kukumbusha: to remind
kukumbuka: remember
unono: luxury
kusumbua: bother, annoy, disturb
hatia: guilt, shame
No comments:
Post a Comment