Mchumba wa kaka yangu ana mimba. Nilifunza majira ya joto iliyopita, wakati kakangu aliita mimi na simu na alisema "Melissa ana mimba." Nilisema "Kweli" basi alisema "Hapana."
Wazazi zetu walishtuka sana lakini sasa familia yangu inapa msaada sana. Mchumba wa kakangu pia alisema kwa kwanza wazazi wake walikuwa na hasira kwa sababu wazazi ni watu wakristo sana.
Wakati shukrani, kakangu na mchumba walikaa nyuba yetu kwa wiki hii. Niliona kwamba kakangu alikomaa sana sasa; alitaka kujaribu kuanzisha kampuni.
msamiati
mchumba - girlfriend
mimba -pregnant
kukomaa - mature
kampuni - company
wakristo - christian
-pat
No comments:
Post a Comment