Sunday, October 2, 2011
Almasi- Hudumu ya Afya
Katika Kenya wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wana uwezo kubadilika maisha wa watu wote. Kwa hivyo wao wanashiriki katika siasa sana. Kwa mfano, wakati nilikaa katika Nairobi na familia yangu nilikuwa na dada moja ambaye anamaliza shule kwa afya. Ijayo yeye alihitaji kuenda hospiteli kufanya kazi kwa miaka miwili kabla ya yeye angeweza kuwa daktari mkuu. Lakini mwaka huu Wizara ya Afya inasema kwamba wanafunzi wote walihitaji kuenda kwa miaka mitatu badalla ya miwaka miwili na Wizara ilipunguza mshahara pia.
Kwa sababu hii, wanafunzi walinia kupinga salaam mtaani la Nairobi. Niliacha darasa la Kiswahili kuingia wanafaunzi. Ilikuwa na kusisimua sana.
Lakini hailikuwa na kusisimua wakati wanafunzi walipinga ukali wakati mwanafunzi nyingine aliuwa katika Westlands katika Machi. Nilipokuwa na nikiangalia wanafunzi mtanni walianza kuruka miwa kuelekea kicha wangu and kicha wa wanafunzi wazungu ambao wanangalia pia. Tulihitaji kukaa katika shule mpaka chelewa sana kwa sababu basi wetu haiendesha kupata sisi.
http://www.youtube.com/watch?v=PD3DkS95CTk&feature=related
-Huduma ya faya= Healthcare
-shiriki= participate
-nia=decide
-pinga=protest
-pinga salaam= peaceful protest
-pinga ukali= violent protest
-kusisimua= to excite, stir up the passions
-kuelekea= towards
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment