Kwa utafiti wangu niliishi kijijini Nkungi kwa muda wa miezi minne. Ningeenda kwa basi kila Jummapili na ningerudi kila Alhamisi. Tulikuwa na shida kubwa sana na umeme kijijini na pia mara kwa mara hatukuwa na maji kwa sababu ya ukosefu wa umeme. Mwezi wa sita nilimsaidia rafiki yangu kuvuna mahindi. Ni kazi ngumu kuvuna. Nilikatwa na mahindi na mwaka huu hatukuwa na mvua ya kutosha kwa hivyo kulikuwa wadudu wengi sana kwenye mahindi. Pia kijijini, nilimsaidia rafiki yangu kusaga mahindi na nilijifunza kupika chakula kitanzania. Nilijifunza kupika na jiko la mkaa. Nilijifunza kupika maandazi, pilau, kuku, chapati, maharage, na makande. Napenda kufanya mazoezi asubuhi kabla ya kufanya kazi ninapoishi kijijini kwa sababu naweza kukimbia bila kusumbuliwa na watu wengine. Kila siku nilienda kijijini kingine kumsaidia mhudumu wa afya. Nilijifunza kuchanja sindano na kuwasaidia mama wajawazito walipokuja kliniki. Niliwahoji mama kila siku pia. Napenda kijiji cha Nkungi sana na sasa nawamisi marafiki yangu kijijini.
Msamiati
kuvuna- to harvest
kuhoji- to interview
makande- rice and corn dish
kusaga- to grind
jiko la mkaa- charcoal stove
kusumbuliwa- to be annoyed
Monday, November 14, 2011
Wednesday, November 9, 2011
Umaskini Duniani
Nilisoma kitabu kuhusu Umaskini Duniani kinaitwa "(Siasa Kawaida) Politics as Usual: What lies behind the pro-poor rhetoric" kwa darasa ya falsafa. Mwandishi wa kitabu hiki alisema kwamba serikali ya USA ni mbaya kwa sababu inaendelea kupata pesa katika nchi wapi hakuna huduma za afya, mfumo wa elimu, na kadalika.
Watu darasani walikhitalifiana kitabu kwa sababu wanapenda faraja zaidi ya ukweli. Lakini mimi nilifikiri kwamba kitabu hiki kilikuwa kizuri sana kwa sababu kina ukweli zuri.
Mimi ninafikiri ni muhimu sana kujaribu kufanya tofauti duniani ambapo watu wanateseka!
-Pat
Msamiati
mfumo wa elimu - education system
falsafa - philosophy
wanateseka - they suffer
faraja - comfort
serikali - government

Tuesday, November 8, 2011
Wanawake wanaochagua kujifungua nyumbani
Kwa darasa lingine nafanya utafiti kuhusu uzaliwa nyumbani hapa, mjini St. Louis na pia Marekani kwa jumla. Nimefanya mahojiano na wanawake waliojifungua nyumbani na pia wahudumu wa afya kama wakunga na "doula". Sijui kama kuna neno kwa doula kwa Kiswahili lakini doula ni mtu, mwanamke kwa kawaida, anayemsaidia mama kwa muda wa kujifungua. Anamsaidia mama na mambo mengi kwa mfano, mama akichagua kujifungua kwenye hospitali labda ataandika mipango ya uzaliwa lakini anapoenda hospitalini ni ngumu zaidi kuwaambia wahudumu kusikiliza na kufuata mipango. Labda mwuguzi atasema mama anahitaji epidural lakini mama ameshaamua kujifungua bila madawa. Mwuguzi au daktari atajaribu kumwambia mama ni lazima apate epidural kwa sababu ya afya ya mtoto. Doula atamsaidia mama kusema hapana, anataka kufuata mpango kujifungua bila madawa. Sasa nimezungumza na wanawake wawili, doula wawili, na mkunga mmoja. Pia, nimehudhuria mkutano ya "Rafiki wa Wakunga wa Missouri" na tulizungumza kuhusu kujifungua nyumbani na hospitalini. Ukijifungua nyumbani na msaada ya mkunga unafuata mfano ya ukunga. Ukunga ni tofauti sana kwa sababu mwanamke anatendewa kama mtu mzima, mwili na ubongo ni kama kitu kimoja, bila mpasuko Cartesian. Pia, mwanamke na familia yake wanaweza kuamua eneo la uzaliwa na anataka kujifunguaje. Si kawaida kujifungua nyumbani Marekani, ni kama asilimia mbili au tatu tu lakini kwa maoni yangu wanawake zaidi wanahitaji kujifunza kuhusu uzaliwa nyumbani.
Msamiati
uzaliwa nyumbani- home birth
mkunga- midwife
ukunga- midwifery
mpasuko- split (Cartesian split in this case)
mwuguzi- nurse
Adrienne
Msamiati
uzaliwa nyumbani- home birth
mkunga- midwife
ukunga- midwifery
mpasuko- split (Cartesian split in this case)
mwuguzi- nurse
Adrienne
Wednesday, November 2, 2011
Utendaji na Kiswahili- Almasi
Miezi sana iliopita nilichagua kujaribu kufanya shahada madogo na Kiswahili. Nilifanya kazi na Mwalimu nilpokuwa na Kenya kupata pamoja darasa kwa shahada madogo.
Semesta hii nilihitaji kutafuta jinsi ya ninaweza kuagiza idara nyingine. Kwa hivyo, kwa sababu nitapta shihada na thiyeta pia na ninasoma thiyeta ya Kenya sasa nilijaribu kutafuta dararsa kwamba ningeweza kutumia. Bibi Anna Peleggi atafundisha darasa inatiwa "Thiyeta kwa Bashasah Mageuzi". Tutaongeza kuhusu theyeta nchini Brazil ya bwana Boal na jinisa ya thiyeta na watu maskini inaweza mageuzisha maisha kwa watu maskini na watu wote nchini. Kama bwana Boal, Ngugi wa Thiong'o anandikwa na alifanya kazi na watu maskini katika Kamriiithu kuonyesha watu maskini kwa watu maskini bila siasa.
Ninataimani kwamba halamshauri ya maalam shahada madogo watakubali pendekezo yangu.
pendekezo: proposal
utandaji: performance
madogo: minor
shahada: degree
idara: department
bashasha: social
mageuzi: change
halmashauri: council
maalum: special

Muziki ya Bongo Flava
Kuna aina ya muziki katika Afrika Mashariki, hasa mijini Nairobi na Dar es Salaam, inayeitwa "Bongo Flava." Aina hii inatoka muziki ya hip hop ya Amerika, na R&B, na Taraab kutoka pwani ya Kenya, na aina za muziki kienyeji katika Tanzania. Mara kwa mara Bongo Flava inatumia ushairi wa Kiswahili kuumba maneno yao.
Na pia, Taraab na aina zingine za muziki wa ng'ambo zimepa Bongo Flava matumizi ya ghani, ambazo ni toni za lugha za Bantu hazizohudhuria katika Kiswahili. Wanamuziki wa Bongo Flava husema kwamba ghani hizi zinapa muziki tabia za "Blues", kama katika Amerika. Wanamuziki wanapoimba, wanatumia Kiswahili na Kiingereza na lugha zingine za Afrika. Kwa hivyo, Bongo Flava ni mchanganyiko wa aina nyingi za muziki kutoka pahali pengi duniani yote. Sasa, redio ya Bongo Flava nzuri zaidi iko mjini Chicago, kwa hivyo muziki hii imeenea duniani yote.
Muziki hii inazungumza kuhusu swala nyingi katika jamii za Waafrika, hasa njia kwa watu kuziboresha maisha zao. Kwa hivyo, maneno ya wimbo hizi yanamudu na ukimwi na ndoa, na pesa na kadhalika. Ingawa hip hip ya Amerika mara kwa mara ni dhalimu na mkali, hip hop ya Tanzania ina furaha zaidi, na wamuziki hawa wanajaribu kutumia muziki yao kujaza moyo na kuboresha maisha za watu katika jamii zao. Kwa sababu ya utofauti hii, wanamuziki wa Bongo Flava husema kwamba muziki zao ina tofauti na hip hop, hasa hip hop ya Amerika.
http://www.youtube.com/watch?v=uAU1QQtn7EE
http://www.youtube.com/watch?v=atsGXqwtG5s
Msamiati:
kuenea - to spread outwards
kuhudhuria - to be present
ghani - tones (in language)
dhalimu - violent
--Pete

Kuandika Mashairi Nzuri
Nilikuwa na malengo mengi kwa miaka hii. Lengo moja yalikuwa kushinda mashindano ya mashairi. Mwezi hii, nilifanya lengo huyu. Nilishinda shindano ya mwezi wa oktoba. Sasa, nitakuwa katika mashindano makubwa katika mwezi wa februari. Washindi wa mashindano za mwezi mpaka Januari watashindana na mimi katika mashindano mkubwa katika februari hivyo mimi ni furahi sana.
Ni lazima niandike mashairi na nitahitaji kutakuwepo tayari. Nitajaribu kuandika na kufanya utendaji kwa masaa matatu kwa wiki mpaka niko tayari kwa mashindano mkubwa katika februari.
Ninafikiri sababu kwa nini mimi nilishinda ni kwamba mimi nilikuwa na nafasi kwa kushindana katika shindano ya taifa majira ya joto uliyopita. Nilijifunza hila na mwanga kwa kuandika na kufanya utendaji.
Hii ni picha ya mimi katika shindano ya taifa:
Nilitumia shairi sawa kutoka shindano ya taifa kama shairi ya kwanza katika shindano ya oktoba. Ni shairi katika picha hii!
Hii ni shindano ya oktoba:
Kwaheri!
-Pat
Msamiati
lengo/malengo - goal(s)
kufanya utendaji - literally, to do a performance (to perform)
hila na mwanga - tips and tricks (hints and tricks)
shindano - competition
Sunday, October 23, 2011
Shirika wa Miriam
Wikiendi hii, wazazi wangu walikuja St. Louis kunitembelea kwa “Wikiendi wa wazazi.” Kabla ya walikuja, kabati la nguo lilikata. Baba na mimi walijenga kabati la nguo na dhahiri hawakufanya vizuri. Kabati la nguo hakuweza kujengwa tena. Lilikuwa likivunjika.
Kwa hivyo, wazazi na mimi walienda duka kununua kabati mpya. Tulipata duka nzuri sana. Duka inaitwa “Miriam’s” na iko Big Bend dakika tano au kumi kutoka shule. Miriam’s inafanana duka kama Salvation Army au Goodwill lakini ni tofauti ndogo. Samani na bidhaa ya nyumba ilipatiwa Miriam’s. Watu wanapa samani kwa Miriam’s hawakupoeka pesa. Wanapa bure. Katika Salvation Army au Goodwill, watu wanapokea pesa kwa samani au bidhaa wake, hata ya ni pesa ndogo sana.
Pia, Miriam’s ni nzuri kwa sababu ni “non profit” au “si faida”. Faida ya kuuza samani na kadhalika inapewa kwa shirika ambaye inafundisha wanafunzi wadogo na ulemavu wa kujifunza.
Dhahiri-clearly, evidently
Samani—furniture
Bidhaa—goods
Faida—profit
Kuuza-to sell
Shirika—organization
Ulemavu--disability
Subscribe to:
Posts (Atom)