Nimefurahi kuenda mkahawa wa Kayaks na mkahawa wa Kaldis kwa sababu yanatumikia kahawa wa “biashara bure”. Kaldi’s ina namna ya kahawa unaitwa “kahawa wa uhusiano.” Kahawa wa uhusiano inanunuwa kwa mkulima kwa bei nzuri. Kwa kawaida, wanunuzi wa Kaldi’s wanamlipa 15 asilimia zaidi ya bei ya “biashara bure,” ambaye ni zaidi ya bei pepe. Kahawa ya biashara bure inajaribu kuboresha maisha ya wakulima kwa kuwalipa thamani sahihi. Kwa kawaida, wanunuzi wananunua kahawa kwa bei ndogo kwa sababu wananweza ku-exploit wakulima. Ni rahisi ku-exploit wao kwa sababu wanahitaji pesa sana kupokea bei dhalimu. Hawakulipa bei ndogo, wanunuzi walienda mkulima mengine na kununua kahawa yake.
Nafikiri ni nzuri sana Kaldi’s inajaribu kupunguza dhalimu katika Afrika mashariki na inajali kuhusu maisha ya wakulima.
Tumikia—to serve
Namna-- type, quality
Uhusiano—relationship
Wanunuzi—buyers
Asilimia—percent
Normal, usual—pepe
Thamani—value, price
Sahihi—correct, true
Kupokea—accept
Dhalimu--unjust Carrie
No comments:
Post a Comment