Sunday, October 23, 2011

Shirika wa Miriam


Wikiendi hii, wazazi wangu walikuja St. Louis kunitembelea kwa “Wikiendi wa wazazi.” Kabla ya walikuja, kabati la nguo lilikata.  Baba na mimi walijenga kabati la nguo na dhahiri hawakufanya vizuri. Kabati la nguo hakuweza kujengwa tena. Lilikuwa likivunjika.

Kwa hivyo, wazazi na mimi walienda duka kununua kabati mpya. Tulipata duka nzuri sana. Duka inaitwa “Miriam’s” na iko Big Bend dakika tano au kumi kutoka shule.  Miriam’s inafanana duka kama Salvation Army au Goodwill lakini ni tofauti ndogo.  Samani na bidhaa ya nyumba ilipatiwa Miriam’s.  Watu wanapa samani kwa Miriam’s hawakupoeka pesa.  Wanapa bure.  Katika Salvation Army au Goodwill, watu wanapokea pesa kwa samani au bidhaa wake, hata ya ni pesa ndogo sana. 

Pia, Miriam’s ni nzuri kwa sababu ni “non profit” au “si faida”.  Faida ya kuuza samani na kadhalika inapewa kwa shirika ambaye inafundisha wanafunzi wadogo na ulemavu wa kujifunza.

 http://www.miriamfoundation.org/content/ 


Dhahiri-clearly, evidently
Samani—furniture
Bidhaa—goods
Faida—profit
Kuuza-to sell
Shirika—organization
Ulemavu--disability

Wednesday, October 19, 2011

Lugha ya SMS

Kueneza ya simu katika Kenya kumesababisha aina mpya ya lugha inayeitwa "SMSpeak," au "Textese." Kwa sababu baruapepe za simu zinawahaja watu kuafiki "character limit," wao waweza kutumia letters mia moja na arobaini tu. Kuafiki dai hii, wahitaji mara kwa mara kubadilisha SMS zao na kutumia abbreviations sana ili kuzipunguza letters zao. Kwa hivyo, watumia lugha mbili au hasa tatu, kama Sheng au lugha nyingine na maneno mafupi zaidi.

Kupunguza hii kunawawezesha kutuma SMS zao bila shida na simu zao, lakini Wasomi wengi wasema kwamba SMSpeak hii inakitisha Kiswahili sanifu. Shule chache katika Kenya zimekuwa na shida na wanafunzi wengi wakijaribu kutumia lugha hii ya SMS darasani au katika insha zao au mitihani yao.

Mara kwa mara lugha hii ya SMS inazisababisha SMS zao kuwa ngumu sana kusoma na kufahamu, kama SMS hizi:

1) I kof @ ua thot, sniz @ ua smel n cry  wen u smyl @ me coz u r 2 much 4 me

2) M orait niko ofisi tu. iv oredi gt enuf jobo!

3) vp? y r u let?? l b on q @ de dh 4 de g c

4) dei fungad our uni juzi

5) Miri lan’s 29t bt d gals rnt su thy’l w8t til tn so ty sd dt 2mr is k bt mr’s am joboying so am stl nt sr wht 2do


6)  banjukeni man life ni fupi we should take it easy while banjukarin


7) tel her 2 weka sm t we r kujaring in ful swing


8) 2dy @ 8 sm1 shud b thea 2 c u b4 u go...2ko pa1 ;-)


9) mambo? 2kopoa 2nakumis 2 much


10) thengiu!!! some few years ago it hit the headline gutuikite ati funda icio ciohwo 
nappy citige guthukia mazingira.

Msamiati mpya:
kuhaja - to require, necessitate
kuafiki - to fit, obey
dai - requirement

--Pete

Tuesday, October 18, 2011

Mkahawa wa Kaldi's


 Nimefurahi kuenda mkahawa wa Kayaks na mkahawa wa Kaldis kwa sababu yanatumikia kahawa wa “biashara bure”.   Kaldi’s ina namna ya kahawa unaitwa “kahawa wa uhusiano.” Kahawa wa uhusiano inanunuwa kwa mkulima kwa bei nzuri.  Kwa kawaida, wanunuzi  wa Kaldi’s wanamlipa  15 asilimia zaidi ya bei ya “biashara bure,” ambaye ni zaidi ya bei pepe.  Kahawa ya biashara bure inajaribu kuboresha maisha ya wakulima kwa kuwalipa thamani sahihi. Kwa kawaida, wanunuzi wananunua kahawa kwa bei ndogo kwa sababu wananweza ku-exploit wakulima.  Ni rahisi ku-exploit wao kwa sababu wanahitaji pesa sana kupokea bei dhalimu.  Hawakulipa bei ndogo, wanunuzi walienda mkulima mengine na kununua kahawa yake. 

Nafikiri ni nzuri sana Kaldi’s inajaribu kupunguza dhalimu katika Afrika mashariki na inajali kuhusu maisha ya wakulima. 



Tumikia—to serve
Namna-- type, quality
Uhusiano—relationship
Wanunuzi—buyers
Asilimia—percent
Normal, usual—pepe
Thamani—value, price
Sahihi—correct, true
Kupokea—accept
Dhalimu--unjust




Carrie

Harusi ya rafiki yangu

Nilipokuwepo Tanzania mpanzi wangu na mimi tulihudhuria harusi ya rafiki yangu.  Rafiki yangu anaitwa Tom na mke wake anaitwa Rafia au Catrina.  Catrina ni jina lake la kikristo.  Alizaliwa Mwislamu lakini Tom ni Mkristo na Rafia alitanasari baada ya uzaliwa wa mtoto wao.  Siku moja kabla ya harusi tulienda nyumbani ya wazazi wa Tom na watu wote wa familia ya Tom na familia ya Rafia walienda kula chakula cha jioni pamoja.  Siku ya harusi tulienda nyumbani ya familia ya Tom kwanza kupiga picha.  Alafu, tuliendelea na familia yoyote kanisani.  Familia ya Rafia haikuenda kanisani.  Baada ya kanisa tulirudi nyumbani ya wazazi wa Tom kupumzika kidogo na kunywa maji na soda.  Alafu tulienda hotelini ya kisasa na safi sana kupiga picha ya watu wote.  Baada ya hoteli watu wote walienda ukumbi kula chakula na kusherehekea.  Tulikula chakula kingi sana na tulicheza dansi.  Bwana na bibi harusi walipendeza sana.

Msamiati
-tanasari- to convert from Islam to Christianity
-sherehekea- to celebrate
bwana harusi- groom
bibi harusi- bride
Bwana na bibi harusi

Rafiki yangu Tom na kakake wawili (Edward na David) na dadake mmoja (Diana).

Bwana na bibi harusi na keki
Adrienne

Wednesday, October 12, 2011

Ziara ya Mama

Wikendi iliyopita mamangu alifika hapa kwa kutembelea mimi. Alifika na pai mbili (viazi vitamu). Kwa sababu, wikendi iliyopita ilikuwa kumbukumbu kwa Dean Mcleod, mbegu wengi alikuwepo hapa pia. Marafiki za Greenway, tunaitwa "Team Greenway" tulikuwa mwenyeji wa mbegu anaitwa Adam. Ni rafiki yangu. Mamangu alikutana wao (mbegu). Gerald, Jessica, Jabari, Jacqui, Tajaa, Aaron and Roger kila walifika kula pai na sisi. Halafu, tuliweka katika chumba cha mto. Baadaye tulienda Red Labsta. Karibu na meza ya sisi, meza waliimba kwa sauti kubwa na kwa sababu meza, weita wangu walisahau chakula gani tulitaka!

-Pat

kumbukumbu - memorial
mbegu - alumni
chumba cha mto - pillow room
mwenyeji - host

Tuesday, October 11, 2011

Muziki ya Zanzibar


Nilipozuru Zanzibar mwezi wa saba mwaka huu niliona wanamuziki wawili.  Mmoja aliimba taarab na mwingine alitoka Comoros na alikuwa akikuja Zanzibar kusoma musiki wa Waswahili.  Aliimba kwa Kifaransa na anafanya "spoken word" pia.  Nilipenda wonyesho hili kwa sababu musiki ya huyu ni ya kisasa lakini anatumia ala za zamani.  Sijawahi kuona ala hizi.

Watu wengi wanapenda taarab na pia kuna musiki ya aina "modern taarab".  Nilipoenda Zanzibar nilikaa na rafiki yangu na tulienda baa ya taarab.  Unaenda na unakunywa au unakula na unaweza kusikiliza muziki taarab.  Baa za taarab zinapendwa na watu wengi.  Ukienda baa nzuri sana unahitaji kuvaa nguo safi sana.

Msamiati
ala- instrument
wonyesho- show
sijawahi kuona- I have never seen
ya kisasa- modern

Adrienne

(Nitajaribu upload video lakini sijui kama itaweza kufanya kazi.  Labda nitaleta video.)

Monday, October 10, 2011

Almasi- Phoenix Wachezaji



Niliopkuwa katika Kenya, nilifanya kazi na biashara ya thiyeta. Jina lako ya kampuni ni Wachezaji ya Phoenix. Nilihitaji kujibu simu kila siku. Nilipokuwa nikijibu watu hawatumani kwama walipinda namba sahihi. Ningehitaji kusema "Hapa ni Wachezaji na Phoenix" kama mara mabili kabla ya wangetumaini.

Wazungu wanjali sana kuhusu nini mchezo ni kuhusu kabla ya walinunua ticketi. Kwa mfano, siku moja mwanamke mzungu walituitwa na nilijibu. Aliuliza "Mchezo ni nini?", na nilisema "Angnes wa Mungu", na yeye aliuliza, "Mwandishi ni nini?", nilijibu "John Pielmier",  anilsema "Ungeweza kuiendeleza tafadhali?", nilisema "P-i-e-l-m-i-e-r", "Asante" alisema na aliacha simu. Bila shaka mazungumzo yetu ilikuwa katika kiingereza. Mkurugenzi wangu, George Mungai, aliniambia kwama wazungu sana walitupiga simu kabla ya mcheza kwa sababu hawataki kuona mchezo wa Afrika. George alisema kwama mara mengi wakati mtu anasema jina la Afrika wazungu aliacha simu kwa dakika moja.

Baadaye 'Agnes wa Mungu' tulifanya 'Tabasamu Mchungu". Mchezo hili ni wa Jamaica, lakini, mkurugenzi, George, na wasani waliibadilisha kuwa mchezo mkenya. Ilikuwa jambo la kushangaza kuona.

Maneno
-tumaini=belive
-sahihi=correct
-endeleza= spell
-mazungumzo=conversation
"kwa dakika moja"= immediately
-wasani= artists

Sunday, October 9, 2011

Yom Kippur


Ijumaa iliyopita, ilikuwa sikukuu ya uyahdui iliitwa "Yom Kippur."  Sikukuu hii ina maana sana na ni muhimu sana kwa wayahudi.  Baada ya Mwaka Mpya, wayahudi hawali kwa siku moja. Muhimu ya mtu hawawezi kula ni kukumbusha mtu wa mwaka uliyopita. Lakini, usikumbushe vitu vizuri.  Ukumbuke vitu vibaya ulifanya, vitu vibaya ulisema, na watu walimkuwa na kali.  Wazo ni kufikiri juu ya maisha yake na ukitaka kuchanga vitu vyingine.  Kwa mimi, mwaka huu nilifikiri kuhusu unono katika maisha yangu.  Nafikiri ni rahisi kusahau urahisi wa maisha, si mimi tu, lakini wa watu wengi katika Wash U, na watu wengi wa Amerika pia.  Ni sehemu ya sherehe ya sikukuu ya Yom Kippur inanisumbua ni baada ya huli kwa siku moja, watu wanachanga kula chakula sana sana sana.  Na kwa sababu mwaka huu nilifikiri kuhusu unono, sherehe hii ilinisikia na hatia.  



sikukuu: holiday
uyaduhi: Judaism
maana: meaning
kukumbusha: to remind
kukumbuka: remember
unono: luxury
kusumbua: bother, annoy, disturb
hatia: guilt, shame

Wednesday, October 5, 2011

Mamangu atakuwepo hapa!

Mamangu atakuwepo hapa wikendi hii. Nina furaha sana. Nina nafasi kuona mtu wa familia yangu ambaye ninampenda!

Wakati mamangu anafika nitasaidia kupika chakula kizuri. Pia nitaenda kuandika mashairi na yeye. Ninataka kumwanzishia marafiki hapa. Ninataka kuonyesha mahali wapi ninatumia masaa. 

Ninamatumaini kwamba mama ataleta pai ya viazi vitamu kwa sababu mimi ninapenda pai viazi vitamu, hasa pai ya mama yangu.


atakuwepo - she will be (locative)
kuanzisha - to introduce
kuonyesha - to show
pai - pie
matumaini - hope
hasa - especially

-Pat

Monday, October 3, 2011

Wanawake wajawazito wanatendewa vipi?

Nilipozungumza na wanawake nilimwuliza "Je, wanawake wajawazito hutendewa tofauti na wanawake wasio wajawazito?"  Hapa, Marekani, nafikiri mwanamke mjamzito anatendewa tofauti.  (Sina watoto kwa hiyo sijui kwa kweli lakini naona anatendewa tofauti.)  Kwa mfano, akikaa Marekani, mjamzito anaweza kupumzika zaidi na anaweza kwenda hospitalini kumwona daktari labda mara kumi na mbili au zaidi.  Mume wake anamsaidia na kazi au kufanya mipango kwa kujigungua, kupataje huduma za afya kwa muda wa ujauzito na kadhalika.  Baada ya uzazi wa mtoto mama anaweza kuacha kazi kwa muda wa miezi mitatu na mara kwa mara (sasa ni kawaida zaidi kuliko zamani) baba wa mtoto anaweza kuwa na likizo pia.  Mjamzito anaweza kusoma vitabu vingi sana kuhusu ujauzito na kuhusu huduma za afya kwa muda wa ujauzito na kujifungua na kwa mtoto.

Wajawazito wanaokaa Tanzania hawawezi kufanya mipango kama Wamarekani.  Labda mume wake anamsaidia kupata chakula au majirani au wifi wanamsaidia na kazi ya nyumbani.  Lakini wanawake wengi vijijini waliniambia kwamba hawawezi kuacha kazi na mume hafanyi kitu chochote kwa muda wa kujifungua au kwa muda wa ujauzito.  Ni muhimu sana kutofanya kazi ngumu sana kwa sababu mimba inaweza kuharibika.  Akifanya kazi ngumu kama kuchota maji au kubeba mizigo mjamzito anaweza kupata shida hata shida na mtoto, mtoto anaweza kufariki tumboni.  Baada ya uzazi wa mtoto ni kazi ya wanawake tu.  Labda baba wa mtoto atachinja mbuzi kuadhimisha uzazi lakini hamsaidia mama na mtoto kwa kweli.  Wanawake wanakuja kumsaidia mama mpya, kama mama mzazi, wifi, dada, au majirani.  Unaweza kumkuta wanawake wajawazito ambao wana afya mbaya, labda kwa sababu hawana msaada na kazi au hawawezi kupata lishe bora na ukimwona mama mjamzito na ana afya mbaya labda ni kwa sababu hana mume au ana mume mbaya.

Msamiati
kutendewa- to be treated
wifi- sister-in-law
uzazi- birth
kuchota maji- to fetch water
lishe- nutrition
kuchinja- to slaughter
kuadhimisha- to celebrate

Adrienne

Sunday, October 2, 2011

Safari ya Zoo

Nilienda Zoo na darasa la mazingira Jumanne iliyopita.  Tuliona simba mbili na simba wa bara hindi karibu sana. Tuliona karibu zaidi ya umma; tulienda nyuma ya kizimba kuona wanyama na kiongozi cha zoo.  Simba ya jike alitembea kutoka ncha moja mpaka ncha nyingine ya kizimba.  Kitendo hiki kinaelezwa kwa jinsi mbili: simba inahitaji kizimba ambacho kikubwa kuliko kizimba cha sasa, au simba alikuwa akitayarisha kuwinda.  Nafikiri ni kidogo cha wawili.  

Simba katika mbuga anazoea kusaka windo.  Uwindaji inahitaji nishati sana, hasa hakamati windo yake.  Kwa sababu wanyama katika zoo hawahitaji kuwinda chakula, hawatumii nishati sana na wana nishati ziada.

Pia, simba katika kizimba hiki hakuona watu wengi karibu sana na kizimba chake.  Kwa kawaida, watu ambao wanahudumia wanyama ni watu tu karibu na kizimba.  Lakini, darasa yangu tulienda eneo huo pia.  Nafikiri tulisababisha simba kuwa na wasiwasi. Kwa hivyo, simba alijibu sisi kama anakuliko mbuga: alitayarisha kusaka windo! Simba ya jike alikuruka katika uzio alipojaribu kuua mimi!!

Pia, katika zoo tulizungumza kuhusu dhima ya zoo katika uhifadhi. Zoo ilipeleka wanyama kutoka zoo moja mpaka zoo nyingine kusukuma wanyama kupanda mbegu.  Pengine, ina bahati, lakini kwa kawaida, hakuna bahati na zoo inahitaji kupeleka mnyama zoo nyingine.





ncha: tip. point, end
kizimba: cage
kuwinda: to hunt
mbuga: grassland/savannah
kuzoea: accustom, get used to
kusaka: hunt, chase
uwindaji: hunting
windo: prey
nishati: energy
ziada: extra
eneo: territory, area
uzio: fence
dhima: role, responsibility
uhifadhi: conservation
sukuma: encourage
mbegu: breed, species

Almasi- Hudumu ya Afya



Katika Kenya wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wana uwezo kubadilika maisha wa watu wote. Kwa hivyo wao wanashiriki katika siasa sana. Kwa mfano, wakati nilikaa katika Nairobi na familia yangu nilikuwa na dada moja ambaye anamaliza shule kwa afya. Ijayo yeye alihitaji kuenda hospiteli kufanya kazi kwa miaka miwili kabla ya yeye angeweza kuwa daktari mkuu. Lakini mwaka huu Wizara ya Afya inasema kwamba wanafunzi wote walihitaji kuenda kwa miaka mitatu badalla ya miwaka miwili na Wizara ilipunguza mshahara pia.

Kwa sababu hii, wanafunzi walinia kupinga salaam mtaani la Nairobi. Niliacha darasa la Kiswahili kuingia wanafaunzi. Ilikuwa na kusisimua sana.

Lakini hailikuwa na kusisimua wakati wanafunzi walipinga ukali wakati mwanafunzi nyingine aliuwa katika Westlands katika Machi. Nilipokuwa na nikiangalia wanafunzi mtanni walianza kuruka miwa kuelekea kicha wangu and kicha wa wanafunzi wazungu ambao wanangalia pia. Tulihitaji kukaa katika shule mpaka chelewa sana kwa sababu basi wetu haiendesha kupata sisi. 


http://www.youtube.com/watch?v=PD3DkS95CTk&feature=related

-Huduma ya faya= Healthcare
-shiriki= participate
-nia=decide
-pinga=protest
-pinga salaam= peaceful protest
-pinga ukali= violent protest
-kusisimua= to excite, stir up the passions
-kuelekea= towards