Sunday, September 25, 2011

Sherehe ya nyumba a kijani na afya

Jumamosi hii, ilikuwa na sherehe ya nyumba a kijani na afya katika Missouri Botanical Gardens.  Sherehe ilionyesha umma jinsi nyingine kufunza watu kuishi maisha kijani na maisha ya afya.  Sherehe ilikuwa na sehemu mbili: sehemu ya mazingira na sehemu ya afya. Sehemu ya mazingira ilieleza vitu ambao wanaweza kufanya kupunguza athari yenu katika mazingira.  Ilionyesha vitu wanaweza kununua na chakula ule kuboresha vitendo vyake.  Sehemu nyingine, sehemu ya afya, ilikuwa na wataalamu wa huduma nyingine ambao walipatikanwa kuzungumza na kujibu maswali kuhusu kansa. Pia, watu waliweza kupimwa kwa kansa mapema sana. Pia, ilikuwa na habari kwa watoto, masomo wa mazoezi kama yoga na tai chi, muziki na kadhalika.

Nilifanya kazi katika sherehe katika sehemu ya afya. Nilichanga habari, nilitumia website, kutoka wanawake juu ya maisha kama zoezi, chakula anakula, na kadhalika. Nilitumia habari kukadiri hatari yake ya kupata kansa ya ziwa.  Baada ya tulichanga habari sana, tutaboresha website ili ni rahisi kufahamu na kutumia.

athari: impact, influence
mtaalamu: expert
-patikana: be available
-kadiri: estimate


Carrie

No comments:

Post a Comment