Nilikuwa na dada ningine anaitwa Mercy, na yeye alikuwa na mume mbaya sana. Mercy ni mwathirika wa unyanyasaji wa nyumbani. Niliambiwa kwamba mume wa Mercy alimwapiga na kwa hivyo Mercy alirudia nyumba ya famalia yake. Nilipokuwa nyumbani mume wake na mama wa mume wake na rafiki ya mume wake walikuja nyumbani wenu kuna mkutano na wazai wenu.
Pia, babangu ni mtu wa Munga na mtu wa kanisa pia. Kwa hivyo kila jioni yeye alifundisha kuhusu Bibilia. Kabla ya nilikwenda Kenya nilinunua Bibilia na maneno na kiingereza na kiswahili. Babangu angesoma katika lugha zote mbili, mama au mimi tungependa kuimba na dadangu Maureen angesala.
Kaka zangu walikuja mashaka na madawa ya kulevya pia. Katika Kenya, na Meru sana, kuna dawa inaitwa Mira au 'kat'. Watu wengi wanatumia miria lakina watu wa chache watakuwa na waathirika.
mwathirika= victim
unyanyasaji wa nyumbani = domestic abuse
sala- pray
mkutano= meeting/discussion
No comments:
Post a Comment