Ijumaa ijayo huduma ya afya ya wanafunzi na Phi Lambda Psi (kikundi cha afya ya wanawake na akina mama) zitafadhili mkasa ya kupima kwa magonjwa wa zinaa. Mkasa huu utakuwa bure kwa wanafunzi wote ambao wanahudhuria Wash U. Wataweza kupimwa kwa kaswende na HIV kwa damu; kisonono na klamidia kwa mtihani wa mkojo; na HIV kwa mtihani wa usufi. Huduma ya afya ya wanafunzi itawapa wanafunzi stikas, kondom kungoja salama!
Msamiati:
-fadhili: fund, sponsor
mkasa: event
-pima: test, assess
magonjwa wa zinaa: STD
-hudhuria: Wash U
kaswende: syphilis
damu: blood
kisonono: gonorrhea
mkojo: urine
usufi: swab
Carrie
No comments:
Post a Comment