Wednesday, September 21, 2011

Bunge la Hip Hop


Katika Nairobi, kuna kundi cha wanamuziki wa hip hop. Kundi hili linaitwa "Hip Hop Parliament," Bunge la Hip Hop, MPs na MCs.
Bunge la Hip Hop lilizaliwa kutoka dhara la uchaguzi wa elfu mbili na nane, wakati wa watu wengi waliuawa katika mitaa.
Wanamuziki hawa, kama MC Muki Garang, wasema kwamba walijaribu kutumia Bunge la Hip Hop kukataa mawazo kwamba muziki kama hip hop ina hatari na haina hadhi kwa jumuia. 
Kwanza, wanajaribu kuitumia kupunguza mvutano wa ukabila na mvutano kati ka watu wa makabila tofauti. Kwa sababu uchaguzi ulikuza mivutano kama hii kati ya makabila tofauti, wanamuziki kama Muki wanataka kutumia muziki wa hip hop kufanya vizuri, siyo vibaya.
 Msamiati wangu ni hivi:
dhara - violence
hadhi - respect
ngono na bangi na pombe - sex, drugs and alcohol
mikinga ya lugha - language barriers
kushariki - to unite
kutenda - to perform

--Pete

No comments:

Post a Comment