Wednesday, September 28, 2011

Shaka

Kila watu wana mfalme kale. Katika siku za nyuma, watu wazulu walikuwa tofauti ya wengine. Makabila wengi walivitana wao kwa sababu jeshi tofauti walitaka kuunganisha ardhi. Lakini mmoja mwanamume alitaka kuunganisha kila ardhi. Aliitwa 'Shaka Zulu Ama Zulu.' Na ni kama Aleksanda ama Saul kwa sababu kwanza mfalme ni kawaida bora kuliko wengine. 

Kwa ushahidi:


Ni vidio kuhusu maishi yake!

Ardhi - land
kuunganisha - unite
bora - better
kawaida - normal
jeshi - troops/army
kale - ancient

Mashairi ya Kiswahili

Kumekuwa na wendo wa ushairi wa Kiswahili, kutoka mashairi ya kale mpaka mashairi ya kisasa--kuna utofauti za lugha, na mita, na aina zingine. Wendo hizi umeruhusu watu wengi kutumia ushairi, watu wachache katika Mombasa na pwani ya Kenya wanafikiri mashairi ya kisasa yana tatizo kasoro kuliko aina za kale. 

http://www.youtube.com/watch?v=N0t7WQbnzZg&feature=related

Vidio hii ni ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Indiana, akikariri shairi la kale la Shabaan Bin Robert, linaloitwa "Titi la Mama."


"Titi la Mama," by Shabaan bin Robert

Titi la mama litamu, hata likiwa la mbwa,
Kiswahili naazimu, sifayo iliyofumbwa,
Kwa wasiokufahamu, niimbe ilivyo kubwa,
Toka kama mlizamu, funika palipozibwa,
Titile mama litamu, Jingine halishi hamu.   

Lugha yangu ya utoto, hata sasa nimekua,
Tangu ulimi mzito, sasa kusema najua,
Ni sawa na manukato, moyoni mwangu na pua,
Pori bahari na mto, napita nikitumia,
Titile mama litamu, jingine halishi hamu.


Na pia, vidio hii ni mfano wa shairi la kisasa la Mrisho Mpoto, kama "Slam Poetry:" 
http://www.youtube.com/watch?v=9ypibltbjb8


Msamiati:


msomi - scholar
kuunda - to create
kukariri - to recite
fumbo - riddle
kufifia - to decline, die off
wendo - movement, process
kuruhusu - to allow
kutii - to conform, obey
tatizo - complexity

--Petero

Monday, September 26, 2011

Almasi-Meru 2

Nilikuwa na dada ningine anaitwa Mercy, na yeye alikuwa na mume mbaya sana. Mercy ni mwathirika wa unyanyasaji wa nyumbani. Niliambiwa kwamba mume wa Mercy alimwapiga na kwa hivyo Mercy alirudia nyumba ya famalia yake. Nilipokuwa nyumbani mume wake na mama wa mume wake na rafiki ya mume wake walikuja nyumbani wenu kuna mkutano na wazai wenu.

Pia, babangu ni mtu wa Munga na mtu wa kanisa pia. Kwa hivyo kila jioni yeye alifundisha kuhusu Bibilia. Kabla ya nilikwenda Kenya nilinunua Bibilia na maneno na kiingereza na kiswahili. Babangu angesoma katika lugha zote mbili, mama au mimi tungependa kuimba na dadangu Maureen angesala.

Kaka zangu walikuja mashaka na madawa ya kulevya pia. Katika Kenya, na Meru sana, kuna dawa inaitwa Mira au 'kat'. Watu wengi wanatumia miria lakina watu wa chache watakuwa na waathirika. 

mwathirika= victim
unyanyasaji wa nyumbani = domestic abuse
sala- pray
mkutano= meeting/discussion

Uzazi wa mpango na ukubwa wa familia



Bado watu wa Tanzania wanataka kuwa na watoto wengi sana.  Ni kawaida nchini kuwa na watoto watano au zaidi.  Watu wa masikini wana watoto wengi lakini na watoto wengi hawataweza kulipia shule na watoto watamaliza na darasa la saba na hawataweza kuendelea na masomo.  Ni mbaya sana hasa kwa wanawake.  Kama familia ina watoto watano, wawili wakiume na watatu wakike, ni kawaida zaidi kwamba watoto wakiume wataweza kuendelea na shule baada ya shule ya msingi.  Wasichana watakaa nyumbani mpaka wamemtafuta mume.  Familia nyingi sana haitumii uzazi wa mpango kwa sababu mama hawezi kwenda kliniki kila mwezi au labda baba hamtaki mke wake kutumia dawa za kukinga ujauzito.  Nilimwona mama mmoja aliyekuwa na miaka hamsini na tatu na alikwepo hospitalini kujifungua mtoto wa kumi na moja au kumi na mbili.  Amechoka sana na hawezi kuwa na maisha kwa kweli.  Bila shaka mama huu ana binti ambaye ana mtoto pia.  Ni muhimu sana kwa afya ya mama na afya na watoto wote wa familia kutumia uzazi wa mpango.

Pia, nafikiri ni muhimu sana kuwafundisha wanafunzi wa shule ya sekondari kuhusu uzazi wa mpango, kwa mfaano kutumiaje kondom au dawa ya kukinga ujauzito.  Hawajui na wasichana wanapata mimba. Hairusiwi kuhudhuria shule ukiwa na mimba.  Wanahitaji kutoka shule.  Labda wanaweza kurudi shuleni baada ya kujifungua lakini si kawaida.  Pia, ni ya hatari kupata mimba akiwa na miaka kumi na tano, kumi na sita kwa sababu hajamaliza kukua, labda atapata shida na nyonga na atahitaji upasuaji.

Msamiati
uzazi wa mpango- family planning
mimba- pregnancy
dawa ya kukinga ujauzito- medicine to prevent pregnancy (the pill, etc.)
Hairusiwi- it's not allowed
-a hatari- dangerous
kukua- to grow 
nyonga- hip/s

Adrienne

Sunday, September 25, 2011

Sherehe ya nyumba a kijani na afya

Jumamosi hii, ilikuwa na sherehe ya nyumba a kijani na afya katika Missouri Botanical Gardens.  Sherehe ilionyesha umma jinsi nyingine kufunza watu kuishi maisha kijani na maisha ya afya.  Sherehe ilikuwa na sehemu mbili: sehemu ya mazingira na sehemu ya afya. Sehemu ya mazingira ilieleza vitu ambao wanaweza kufanya kupunguza athari yenu katika mazingira.  Ilionyesha vitu wanaweza kununua na chakula ule kuboresha vitendo vyake.  Sehemu nyingine, sehemu ya afya, ilikuwa na wataalamu wa huduma nyingine ambao walipatikanwa kuzungumza na kujibu maswali kuhusu kansa. Pia, watu waliweza kupimwa kwa kansa mapema sana. Pia, ilikuwa na habari kwa watoto, masomo wa mazoezi kama yoga na tai chi, muziki na kadhalika.

Nilifanya kazi katika sherehe katika sehemu ya afya. Nilichanga habari, nilitumia website, kutoka wanawake juu ya maisha kama zoezi, chakula anakula, na kadhalika. Nilitumia habari kukadiri hatari yake ya kupata kansa ya ziwa.  Baada ya tulichanga habari sana, tutaboresha website ili ni rahisi kufahamu na kutumia.

athari: impact, influence
mtaalamu: expert
-patikana: be available
-kadiri: estimate


Carrie

Wednesday, September 21, 2011

Mawazo ya asubuhi

Afya ya Kibinafsi

Wakati mwingine, watu wanauliza neema na useme hapana. Kwa mfano, ikiwa unahitaji kulala na mama anauliza wewe kuendesha gari kwa watoto useme hapana kwa sababu ni hatari sana kwa wewe na watoto! Lakini unawezaje kusema hapana ikiwa mama unaweuliza kitu?! Ueleze na mama kwamba ni hatari ikiwa unaendesha gari wakati unahitaji kulala.

Ni kama maisha ya chuo kikuu. Walimu wa darasa huuliza kufanya vitu kwa wewe lakini bila kunilipa. Ninataka kufanya vitu hata hivyo bila ulipa ni ngumu sana kutafata masaa kwa kufanya vitu kwa zingine.

Ni sababu niliuliza "Unawezaje kusema hapana ikiwa mama unaweuliza kitu?!"Ninafikiri kwamba ikiwa unataka kuwa na afya ya kibinasi, ni muhimu sana kujifunza kusema hapana wakati mwingine.


Wakati Mwingine- Sometimes
Muhimu - Important
Afya ya Kibinasi - Personal health
Hatari - dangerous

-Pat

Bunge la Hip Hop


Katika Nairobi, kuna kundi cha wanamuziki wa hip hop. Kundi hili linaitwa "Hip Hop Parliament," Bunge la Hip Hop, MPs na MCs.
Bunge la Hip Hop lilizaliwa kutoka dhara la uchaguzi wa elfu mbili na nane, wakati wa watu wengi waliuawa katika mitaa.
Wanamuziki hawa, kama MC Muki Garang, wasema kwamba walijaribu kutumia Bunge la Hip Hop kukataa mawazo kwamba muziki kama hip hop ina hatari na haina hadhi kwa jumuia. 
Kwanza, wanajaribu kuitumia kupunguza mvutano wa ukabila na mvutano kati ka watu wa makabila tofauti. Kwa sababu uchaguzi ulikuza mivutano kama hii kati ya makabila tofauti, wanamuziki kama Muki wanataka kutumia muziki wa hip hop kufanya vizuri, siyo vibaya.
 Msamiati wangu ni hivi:
dhara - violence
hadhi - respect
ngono na bangi na pombe - sex, drugs and alcohol
mikinga ya lugha - language barriers
kushariki - to unite
kutenda - to perform

--Pete

Monday, September 19, 2011

Wanawake na huduma za afya Tanzania


Kuna tofauti nyingi sana na huduma za afya za Tanzania na huduma za afya za Marekani.  Majengo ni tofauti sana.  Marekani unaenda hospitali na unaingia jengo moja kwa kawaida lakini hospitali za Tanzania ziko nje.  Unatembea nje unapoenda wodini.  Wanawake wanasubiri nje wanapokuja kujifungua pia.  Hawana vifaa na mara kwa mara hukuna wahudumu wa afya au wahudumu hawana elimu bora.  Nasikitika ninapoona zahanati za Tanzania na ninapowaona wanawake wanatendewa vipi wanapoenda kupata huduma za afya kwa muda wa ujauzito au kujifungua.  Kwa mfaano, niliangalia manasi waliompiga mwanamke kwa sababu alipiga kelele alipokuwa na uchungu na aliposukuma kwa muda wa kujifungua.  Wahudumu wachache wanafikiri kwamba wanawake wanaotoka shambani hawana elimu na wao ni wajinga na wahudumu wanawaonea wanawake.

Msamiati
-onea: look down on someone
wodi- medical ward
shamba-field
uchungu- contractions/ labor pains
vifaa- tools/equipment

Almasi- Meru

Najua kwamaba nilisema kuhusu Meru kidogo wiwi mbila ziliopita lakini, nintaka sasa kulisema zaidi. Nilipokuwa katika Meru kuna vitu vingi ambao nilihitaji kujifunza na kufanya. Kwa mfano majukumu ya jinsia. Pia nilihitaji kujifunza jinsi ya kupika na moto tu. Nikihitaji kujifunza jinsi ya kumudu matitizo na kukaa na kufanaya na kucheza na familia mpya. Nilijifudnish famalia ya Meru zivyokumudu unyanyasaji wa nyumbani na madawa ya kulevya. Maisha yao kuwa maisha yangu.

- kumudu matatizo: deal with stress
- majukumu ya jinsia: gender roles
- unyanyasaji wa nyumbani: domestic abuse
- madawa ya kulevya: drug abuse

Sunday, September 18, 2011

Mtihani wa magonjwa wa zinaa katika DUC

Ijumaa ijayo huduma ya afya ya wanafunzi na Phi Lambda Psi (kikundi cha afya ya wanawake na akina mama) zitafadhili mkasa ya kupima kwa magonjwa wa zinaa.  Mkasa huu utakuwa bure kwa wanafunzi wote ambao wanahudhuria Wash U.  Wataweza kupimwa kwa kaswende na HIV kwa damu; kisonono na klamidia kwa mtihani wa mkojo; na HIV kwa mtihani wa usufi.  Huduma ya afya ya wanafunzi itawapa wanafunzi stikas, kondom kungoja salama!



Msamiati:

-fadhili: fund, sponsor
mkasa: event
-pima: test, assess
magonjwa wa zinaa: STD
-hudhuria: Wash U
kaswende: syphilis
damu: blood
kisonono: gonorrhea
mkojo: urine
usufi: swab


Carrie

Wednesday, September 14, 2011

Maisha yangu (Pat)

Watu wengi hutumia ratiba na mipango ili walikuandaa shughuli na matukio katika maisha zao. Maisha yangu ni tofauti sana. Mimi ninaandika ma wazo mara chache. Kila katika kichwa yangu. Ni nzuri kwa sababu ninakumbuka vizuri sana. Ni mbaya kwa sababu ikiwa ninasahau vitu halafu sitafanya vitu. Sasa ninajaribu kuandika "kufanya orodha" ili nitakumbuka wapi na wakati ninahitaji kwenda mahali na pamoja na nini. 

Mwaka huu, nitajaribu kuwa mtu bora. Sasa, mimi ni rais ya shirika inaitwa "Learning to Live." Na mimi ni mfanyakazi ambaye ana mawili. Na pia ninafanya kazi na shiriki (kujitolea)!

Maneno
ratiba - schedule
kuandaa - organize
matukio - events
mipango - plans
"kufanya orodha" - "to do lists"
mahali - places

Jiografia, Upande na Lugha

Tumesoma kuhusu athari za mazingira na jiografia kwa utamaduni, uchumi, na biashara. Kuna athari nyingi kwa lugha pia. Mara kwa mara jiografia ama inawezesha mazungumzo na biashara kati ya jamii kutoka sehemu tofauti za bara, au inazuia mazungumzo haya. Mweza kuona athari hii katika Kaskazini ya Afrika, na jangwa la Sahara, na katika Katikati ya bara, na msitu mkuu wa DRC.

Na pia, kuna athari nyingi zinazokuja kutoka mazingira na jiografia lakini zinazoitwa "Spatial Relations." Hii ni wazo kwamba watu wagawanya sehemu karibu na wao kwa mujibu wa mawazo yao kuhusu watu na ardhi. Kwa mfano, jamii nyingi imesema upande wa kulia ni nzuri zaidi kuliko kushoto. Katika lugha hizi, kulia ina maana ya dini na dhati, na kushoto ina maana ya uovu na jahanamu. Tabia ya lugha hii iko jamii nyingi duniani yote, lakini hasa katika Ulaya na Afrika.

Sina msamiati mpya sana, lakini maneno machache mpya yako hapa:

mageuzi: change
athari: effect
kuzuia: to prevent
kuukilia: to determine
mgusano: contact
kugawanya: to divide
kwa mujibu wa: according to
dhati: sacred
uovu/mwovu: evil
jahanamu: hell

--Petero

Monday, September 12, 2011

Uigiziagi tatu

Katika darasa la Uigizaji tatu tulisomwa michezo ya kirusi mitatu. Mwandishi wa michezo ni Anton Chekov na bwana David Mamet aliyotafsiri katika kiingereza. Wakati watu wanajaribu kufanya mchezo walihitaji kufanya utafiti kuhusu mchezo ule na maisha wa miundo. Bila kazi kabla ya mazoezi itakuwa vigumu kufanya kazi kizuri katika mazoezi.

Chekov aliandishi kuhusu watu tajiri sana katika Urusi. Lakini Ngugi wa Thiong'o ni mwandishi wa Kenya. Yeye ni mtu maalum nchini Kenya. Ngugi aliandishi kuhusu watu wa Kenya na maisha wa wananchi bila kitu sana.

Maneno
kirusi: Russian
miundo: characters
mazoezi: rehearsal (exercises)

Almasi 

Utafiti na wanawake wa Singida

tanzania-political-map.jpg


Niliishi mkoa wa Singida kwa miezi kumi na moja kufanya utafiti kuhusu ujauzito na huduma za afya kwa wanawake wajawazito na pia kwa kujifungua.  Niliwauliza wanawake kuhusu utamaduni wa ujauzito na pia huduma bora zaidi kwa muda wa ujauzito na kujifungua.  Nilikaa mjini Singida na pia nilifanya kazi vijijini.  Nilifanya mahojiano mia na tatu na wanawake, moja na mkunga wa jadi kijijini, na pia na wahudumu wa afya kumi na tisa.  Nilimwuliza mwanamke maswali kama kuhusu historia ya uzazi:  Ulijifungua mara ngapi?  Watoto wangapi walifariki na kwa sababu gani?  Ulijifungua wapi? Nyumbani, hospital, au labda njiani?  Nani alihudhuria kujifungua kwako?  Nani alikusaidia kwa muda wa kujifungua?  Alifanya nini?  Ulipendelea kujifungua hospitalini au nyumbani?  Kwa nini?  Na pia niliuliza maswali kama: Ungependa kuwa na watoto wangapi?  Familia inayokuvutia ina watoto wangapi, kwa nini?  Ni lazima mjamzito aende kupata huduma ya afya mara ngapi?  Huduma za afya kwa wanawake ni muhimu?  Kwa nini ndiyo au hapana?   Nani harusiwi kuwepo wakati wa kujifungua?  Wanawake wajawazito hutendewa tofauti na wanawake wasio wajawazito?  Vipi?

Nilitaka kujifunza kuhusu ujauzito na kuwasikiliza wanawake kwa sababu bado wanafariki kwa muda wa kujifungua au wanajifungua bila msaada wa mkunga.  Naamini kwamba ni haki ya watu wote kuwa na afya kwa muda wa ujauzito na kujifungua.  Kuna shida nyingi unaweza kupata ukiwa na mimba.  Unaweza kupata malaria na ukiwa na malaria ni rahisi zaidi kupata upungufu wa damu.  Upungufu wa damu ni kawaida mkoani Singida.  Kwa muda wa ujauzito ni muhimu sana kula chakula kizuri, bila chakula kizuri kama labda matunda kwa vitamini, na mboga za majani kwa vitamini, mayai, na nyama. Unaweza kupata upungufu wa damu kama huwezi kula nyama na mboga za majani.  Ukiwa na presha ya damu mbaya unaweza kupata kifafa cha mimba na wanawake wanafariki au watoto wanaweza kufariki kwa sababu ya kifafa cha mimba.  Ni muhimu kwenda kliniki kupata huduma kwa muda wa ujauzito kwa sababu utapimwa kwa UKIMWI, upungufu wa damu, malaria, na kwa maambukizo.  Wiki ijayo nitaleta rekodi za mahajiano na wanawake wawili au watatu!    


Msamiati
historia ya uzazi- reproductive history
kujifungua- to give birth
utafiti- research
kituo cha afya- healthcare center
zahanati- dispensary
mahojiano- interviews
wahudumu wa afya- healthcare workers
uzazi wa mpango- family planning
mkunga (wa jadi)- midwife (traditional)
kifafa cha mimba- pregnancy seizures (eclampsia)
upungufu wa damu- anemia

Bi Adriana

Sunday, September 11, 2011

Safari ya Mto de Peres

Kwa darasa ya semina ya mazingira, tulienda sehemu nyingine ya mto de Peres. Mto de Peres una
historia poa sana. Mto uliishi bila shida mpaka mji wa St. Louis ulitaja mahala ya sherehe ya dunia. Watu
wa St. Louis walitambua kwamba mji unanuswa mbaya sana. Kwa hivyo, serikali ilianza kubadilika njia
ya mto. Ilijenga njia chini ya ardhi kwa mto kufuata. Mto ulitiririka chini ya ardhi katika mji wa chuo
kikuu na Forest park. Mto ulipanda juu ya ardhi mashariki ya Forest park. Serikali ulijenga handaki
kuzuia watu kulalamika walipofika sherehe. Haijali kuhusu watu wengine katika St. Louis. Sasa, mto
unaendelea kutiririka chini ya ardhi huko.


Carrie

Wednesday, September 7, 2011

Muziki wa Kiswahili

Angalia vidio hii ya X Plastaz, wanamuziki kutoka Tanzania: http://www.youtube.com/watch?v=UiIa2i29PZ4

Msipofahamu Kiswahili (au Sheng), maneno yako hapa: http://www.myspace.com/xplastaz/blog/420837765

--Bwana Pete