Sunday, October 23, 2011

Shirika wa Miriam


Wikiendi hii, wazazi wangu walikuja St. Louis kunitembelea kwa “Wikiendi wa wazazi.” Kabla ya walikuja, kabati la nguo lilikata.  Baba na mimi walijenga kabati la nguo na dhahiri hawakufanya vizuri. Kabati la nguo hakuweza kujengwa tena. Lilikuwa likivunjika.

Kwa hivyo, wazazi na mimi walienda duka kununua kabati mpya. Tulipata duka nzuri sana. Duka inaitwa “Miriam’s” na iko Big Bend dakika tano au kumi kutoka shule.  Miriam’s inafanana duka kama Salvation Army au Goodwill lakini ni tofauti ndogo.  Samani na bidhaa ya nyumba ilipatiwa Miriam’s.  Watu wanapa samani kwa Miriam’s hawakupoeka pesa.  Wanapa bure.  Katika Salvation Army au Goodwill, watu wanapokea pesa kwa samani au bidhaa wake, hata ya ni pesa ndogo sana. 

Pia, Miriam’s ni nzuri kwa sababu ni “non profit” au “si faida”.  Faida ya kuuza samani na kadhalika inapewa kwa shirika ambaye inafundisha wanafunzi wadogo na ulemavu wa kujifunza.

 http://www.miriamfoundation.org/content/ 


Dhahiri-clearly, evidently
Samani—furniture
Bidhaa—goods
Faida—profit
Kuuza-to sell
Shirika—organization
Ulemavu--disability

No comments:

Post a Comment