Sunday, October 2, 2011

Safari ya Zoo

Nilienda Zoo na darasa la mazingira Jumanne iliyopita.  Tuliona simba mbili na simba wa bara hindi karibu sana. Tuliona karibu zaidi ya umma; tulienda nyuma ya kizimba kuona wanyama na kiongozi cha zoo.  Simba ya jike alitembea kutoka ncha moja mpaka ncha nyingine ya kizimba.  Kitendo hiki kinaelezwa kwa jinsi mbili: simba inahitaji kizimba ambacho kikubwa kuliko kizimba cha sasa, au simba alikuwa akitayarisha kuwinda.  Nafikiri ni kidogo cha wawili.  

Simba katika mbuga anazoea kusaka windo.  Uwindaji inahitaji nishati sana, hasa hakamati windo yake.  Kwa sababu wanyama katika zoo hawahitaji kuwinda chakula, hawatumii nishati sana na wana nishati ziada.

Pia, simba katika kizimba hiki hakuona watu wengi karibu sana na kizimba chake.  Kwa kawaida, watu ambao wanahudumia wanyama ni watu tu karibu na kizimba.  Lakini, darasa yangu tulienda eneo huo pia.  Nafikiri tulisababisha simba kuwa na wasiwasi. Kwa hivyo, simba alijibu sisi kama anakuliko mbuga: alitayarisha kusaka windo! Simba ya jike alikuruka katika uzio alipojaribu kuua mimi!!

Pia, katika zoo tulizungumza kuhusu dhima ya zoo katika uhifadhi. Zoo ilipeleka wanyama kutoka zoo moja mpaka zoo nyingine kusukuma wanyama kupanda mbegu.  Pengine, ina bahati, lakini kwa kawaida, hakuna bahati na zoo inahitaji kupeleka mnyama zoo nyingine.





ncha: tip. point, end
kizimba: cage
kuwinda: to hunt
mbuga: grassland/savannah
kuzoea: accustom, get used to
kusaka: hunt, chase
uwindaji: hunting
windo: prey
nishati: energy
ziada: extra
eneo: territory, area
uzio: fence
dhima: role, responsibility
uhifadhi: conservation
sukuma: encourage
mbegu: breed, species

No comments:

Post a Comment