Wednesday, October 19, 2011

Lugha ya SMS

Kueneza ya simu katika Kenya kumesababisha aina mpya ya lugha inayeitwa "SMSpeak," au "Textese." Kwa sababu baruapepe za simu zinawahaja watu kuafiki "character limit," wao waweza kutumia letters mia moja na arobaini tu. Kuafiki dai hii, wahitaji mara kwa mara kubadilisha SMS zao na kutumia abbreviations sana ili kuzipunguza letters zao. Kwa hivyo, watumia lugha mbili au hasa tatu, kama Sheng au lugha nyingine na maneno mafupi zaidi.

Kupunguza hii kunawawezesha kutuma SMS zao bila shida na simu zao, lakini Wasomi wengi wasema kwamba SMSpeak hii inakitisha Kiswahili sanifu. Shule chache katika Kenya zimekuwa na shida na wanafunzi wengi wakijaribu kutumia lugha hii ya SMS darasani au katika insha zao au mitihani yao.

Mara kwa mara lugha hii ya SMS inazisababisha SMS zao kuwa ngumu sana kusoma na kufahamu, kama SMS hizi:

1) I kof @ ua thot, sniz @ ua smel n cry  wen u smyl @ me coz u r 2 much 4 me

2) M orait niko ofisi tu. iv oredi gt enuf jobo!

3) vp? y r u let?? l b on q @ de dh 4 de g c

4) dei fungad our uni juzi

5) Miri lan’s 29t bt d gals rnt su thy’l w8t til tn so ty sd dt 2mr is k bt mr’s am joboying so am stl nt sr wht 2do


6)  banjukeni man life ni fupi we should take it easy while banjukarin


7) tel her 2 weka sm t we r kujaring in ful swing


8) 2dy @ 8 sm1 shud b thea 2 c u b4 u go...2ko pa1 ;-)


9) mambo? 2kopoa 2nakumis 2 much


10) thengiu!!! some few years ago it hit the headline gutuikite ati funda icio ciohwo 
nappy citige guthukia mazingira.

Msamiati mpya:
kuhaja - to require, necessitate
kuafiki - to fit, obey
dai - requirement

--Pete

No comments:

Post a Comment